Posted on: November 4th, 2019
Charles Kichere ni nani?
Alisomea elimu ya juu katika Chuo Kikuu cha Dar-Es-Salaam na chuo kikuu cha Tumaini, mjini Dar Es Salaam.
Kichere aliwahi kuwa naibu kamishna mkuu wa TRA.
Mnamo tareh...
Posted on: November 4th, 2019
Rais wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemtaka CAG mpya Charles Kichere kutojifanya mhimili, badala yake awe mtiifu kwa mihimili anapoagizwa kutekeleza majukumu.
Bwana Kichere na watumishi wengi...
Posted on: November 4th, 2019
Uongozi wa Halmashauriya wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa umesema hautasita kuwachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafikisha mahakamani watendaji wote wa vijiji na kata ambao watashindwa kuwasili...