Posted on: November 11th, 2019
SERIKALI ya Japani imetoa msaada wa vifaa vya upasuaji vyenye thamani ya shilingi milioni 139 katika wilaya za Kalambo na Nkasi mkoani Rukwa ambavyo vitasaidia akinamama wajawazito watakao ku...
Posted on: November 10th, 2019
BARAZA la madiwani Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa limemuagiza mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri hiyo pamoja na jeshi la polisi kuwasaka na kuwakamata waganga wafawidhi wa z...
Posted on: November 7th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote za mkoa huo kusimamia kwa karibu uingizwaji wa pembejeo za kilimo na kuhakikisha zinauzwa kwa bei elekezi ili kuwafikia...