Posted on: September 23rd, 2019
Zikiwa zimesalia siku chache kuanza kwa uchaguzi mkuu wa serikali za mitaa hapa nchini ,wananchi wilayani Kalambo mkoani Rukwa wameiomba serikali kuthibiti mianya ya wahamiaji haramu kuingia ...
Posted on: September 20th, 2019
Shirika la umeme TANESCO wilayani kalambo Mkoani Rukwa limewakikishia wananchi wa vijiji vilivyopo katika kata za lyowa na Matai kuwa litawapatia huduma ya umeme ndani ya mwaka hu...
Posted on: September 19th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amewataka wakala wa taifa wa hifadhi ya chakula (NFRA) Sumbawanga kuharakisha ujenzi wa vihenge unaogharimu kiasi cha shilingi bilion 15 kwa kushiriki...