Posted on: August 22nd, 2019
Watumishi wa umma wilayani kalambo mkoani Rukwa wamelalamikia kitendo cha wafanyakazi wa serikali waliomasomoni kuto pandishwa madaraja licha ya kufuata vigezo na masharti ya utumishi wa umma...
Posted on: August 20th, 2019
Mkuu wa wilaya ya kalambo mkoani Rukwa Julieth Binyura amezitaka kaya masikini zinazowezeshwa kupitia mfuko wa tasafu kuzitumia vizuri fedha wanazopatiwa na serikali kwa kuzielekeza zaidi kat...
Posted on: August 19th, 2019
Uongozi wa serikali wilayani Kalambo mkoa wa Rukwa umewaagiza watumishi wote wa umma wilayani humo kusajili laini za simu zao za mitandao mbalimbali kwa njia ya alama za vidole ili kuimarisha...