Posted on: August 19th, 2019
Uongozi wa serikali wilayani Kalambo mkoa wa Rukwa umewaagiza watumishi wote wa umma wilayani humo kusajili laini za simu zao za mitandao mbalimbali kwa njia ya alama za vidole ili kuimarisha...
Posted on: August 16th, 2019
Dar es salam.
Marais wawili ,Eddar lungu wa Zambia na Joao Manuel Goncalves Lourenco wa Angola wamewasili Tanzania kuhudhuria mkutano wa 39 wa wakuu wa Nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa...
Posted on: August 16th, 2019
Umoja wa wasanii wilayani kalambom mkoani Rukwa umeungana na watu wengine mkoani humo katika zoezi la uchangiaji damu lililofanyika katika kituo cha afya Matai kwa lengo la kuwasaidia majeruhi wal...