Posted on: June 16th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazaro Komba amelitaka jeshi la polisi wilayani humo kuwasaka na kuwabaini wazazi na walezi wanaokatisha masomo ya watoto wao kisha kuwaozesha katika umri mdogo ...
Posted on: May 12th, 2023
Ligi ya michezo wa mpira wa miguu uliokuwa ukiendelea kufanyika katika uwanja wa Nelson Mandela manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa imemalizika baada ya timu ya polisi jamii Nkasi kuibuka na ushindi w...
Posted on: May 10th, 2023
Kituo cha ulinzi wa Rasilimali za uvuvi Kasanga wilayani Kalambo mkoani Rukwa kimefanikiwa kukamata nyavu haramu 127 kupitia msako mkali uliofanyika katika ziwa Tanganyika kupitia maeneo ya k...