Posted on: May 9th, 2023
Wakala wa maji safi na usafi wa mazingira (RUWASA) Mkoani Rukwa wameanza uchimbaji wa visima vya maji kuanzia mita 60 katika vijiji vitano vya wilaya ya Kalambo ikiwemo kijiji cha Ilimba, Kanyezi,Lole...
Posted on: May 8th, 2023
Mkuu wa wilaya Ya kalambo mkoani Rukwa Lazaro komba ameyataka mashirika yasiyokuwa ya kiserikali NGO’S yanayotekeleza miradi mbalimbali wilayani humo kuzitumia fedha za ufadhili katika kutekeleza mira...
Posted on: February 21st, 2023
Katibu tawala wilayani Kalambo Mkoani Rukwa Frank Sichalwe amekabidhi pikipiki 7 kwa watendaji wa kata ambazo zitasaidia katika shughuli za ukusanyaji wa mapato pamoja na kuwafikia wanafunzi amb...