Posted on: September 19th, 2023
Wizara ya mifugo na uvuvi kupitia Benki ya maendeleo ya kilimo Tanzania TADB imesaini mkataba wa mkopo wa boti ya uvuvi na zana za uvuvi kwa kikundi cha uvuvi cha Umoja kilichopo katika kata ya Samazi...
Posted on: September 16th, 2023
Watumishi wa umma wilayani Kalambo mkoani Rukwa wameungana na watu wengine duniani katika kuadhimisha siku ya usafi kwa kufanya usafi kwenye ofisi za taasisi za umma ikiwemo hospitali ya wilaya.
Af...
Posted on: September 13th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazaro komba amesema mkoa umeanzisha kampeni ya nyumba kwa nyumba ili kutoa chanjo kwa watoto 391,883 wenye umri chini ya miaka 8 kati yao wilaya ya Kalambo ikiw...