Posted on: March 30th, 2021
Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Philip Isdory Mpango kuwa makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Jina hilo liliwasilishwa bungeni asubuhi ya Jumanne na mpambe wa Rais katika bahash...
Posted on: March 26th, 2021
Hatimaye hayati John Pombe Magufuli Rais wa awamu ya tano wa Tanzania amezikwa katika makazi yake eneo la Mlimani Chato.Shughuli ya maziko iliyofanyika katika makaburi ya famila na kuhusiha watu mbali...
Posted on: March 26th, 2021
Mkuu wa Majeshi ya Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo ameahidi utiifu kwa Rais Samia Suluhu Hassan na Amirijeshi Mkuu.
Bw. Mabeyo amemhakikishia kuwa ulinzi wa nchi na mipaka yake ni salama na vitae...