Posted on: December 29th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Tano Mwela amewataka wananchi wilayani humo kujenga mazoea ya kutunza miundombinu ya maji ili iweze kudumu na kuwa endelevu kutokana na serikali kutumia...
Posted on: December 28th, 2022
Serikali imetoa fedha billion 1.7 kwa ajili ya uchimbaji wa bwawa la maji katika kijiji cha Kalemasha wilayani Kalambo Mkoani Rukwa litakalohudumia watu 25000 kutoka vijiji vitan...
Posted on: October 23rd, 2022
Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imesema imetenga million arobaini(40,000,000) kwa ajili ya umaliziaji wa kituo cha fya kanyezi ikiwa ni jitihada za kuwezesha wananchi kati...