Posted on: December 17th, 2020
Wananchi mkoani Rukwa wameipongeza serikali kwa kuendelea kusimamia swala la watu kunawa mikono yao kwa kutumia mitambo ya kisasa ambayo ilibuniwa na chuo cha MUSTI Mbeya na Rukwa hivi karibu...
Posted on: December 17th, 2020
Waamini wa madhehebu mbalimbali ya kidini mkoani Rukwa wamewapongeza wachungaji wa madhehebu mbalimbali ya kidini mkoani Rukwa kwa kufanya maamuzi ya kufungua shughuli za ibaada licha ya baad...
Posted on: December 16th, 2020
Kamati ya lishe wilayani Kalambo mkoani Rukwa imeazimia wanafunzi wa shule za msingi kupata chakula cha mchana ikiwa ni jitihada za kutokomeza afua za lishe na kuongeza ufaulu kwa wanafunzi.
...