Posted on: November 12th, 2020
Bunge la Tanzania limemuidhinisha, Mbunge wa Ruagwa Kassim Majaliwa kwa wadhifa wa Uwaziri Mkuu.
Majaliwa amepata kura za wabunge wote 350 waliopiga kura , sawa na 100%.
Amemshukuru Rais Maguful...
Posted on: November 10th, 2020
MKUU wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Calorus Misungwi ametoa siku tatu kwa viongozi wa serikali za vijiji vitatu vya kata ya Kisumba kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenye shughuli za maendeleo ya u...
Posted on: November 5th, 2020
Baada ya kuapishwa urais katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma nchini Tanzani.
Rais huyo ametoa shukrani kwa watanzania wote kumuamini na kumchagua kwa mara nyingine kuliongoza taifa hilo kwa miaka...