Posted on: February 27th, 2021
Wajumbe wa Kamati ya Ushauri ya Mkoa wa Rukwa (RCC) wameiomba Serikali kukamilisha taratibu za kuendeleza ujenzi wa Chuo cha Ufundi VETA Mjini Sumbawanga ili wanafunzi na makundi mbalimbali y...
Posted on: February 26th, 2021
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa siku 14 kwa wadaiwa (defaulters) wa makusanyo ya mapato ya Halmashauri wakiwemo watendaji wa vijiji na Kata kuhakikisha wanarudisha fedha hizo kabla ya...
Posted on: February 21st, 2021
Daraja la Kale lililopo katika kata ya Ulumi linalounganisha vijiji 11 vya kata 3 za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa limesombwa na maji kufuatia mvua kubwa ilionyesha katika maeneo hayo na kusababisha ...