Posted on: February 4th, 2021
Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli amewataka watanzania kutumia dawa za asili katika mapambano dhidi ya Covid-19
Akizungumza Jijini Dodoma hii leo, amesisita juu ya matumizi ya miti shamba pia ku...
Posted on: February 4th, 2021
Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa imeanza kuchukua hatua za kukomesha vitendo vya utoro mashuleni kwa kutunga sheria ndogo zitakazo saidia kuwachukulia hatua wazazi na walezi wanaoshindwa kuchangia vyaku...
Posted on: February 2nd, 2021
Mahakama ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa kwa mwaka 2020 imefanikiwa kusajili mashauri 176 na kumaliza mashauri 197 huku mahakama za mwanzo zikifanikiwa kusajili mashauri 349 na kumaliza mashauri 369...