Mradi wa Ujenzi wa Madarasa manne (4) Shule ya Sekondari Matai, Kata ya Matai.
Thamani ya Mradi Tsh. 80,000,000
Ujenzi unaendelea ukiwa katika hatua ya kupandisha kuta tarehe 1/12/2021
Ujenzi unaendelea ukiwa katika hatua ya kufunga linta tarehe 4/12/2021
Ujenzi unaendelea ukiwa katika hatua ya upauaji tarehe 9/12/2021
Ujenzi umekamilika hatua ya upachikaji madirisha tarehe 24/12/2021
Mradi Umekamilika 27/12/2021
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.