Posted on: March 31st, 2020
Serikali hapa nchini imethibitisha kifo cha kwanza cha mgonjwa wa corona, kilichotokea alfajiri ya siku ya Jumanne tarehe 31 mwezi Machi mwaka 2020.
Mgonjwa huyo alifariki katika kituo cha matibabu...
Posted on: March 31st, 2020
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Rukwa wamekubaliana kuwa kila dhehebu kulingana na imani zao kuona namna ya kupunguza muda wa kufanya ibada katika misikiti na makanisa mbalimbali ili kuk...
Posted on: March 30th, 2020
KATIKA hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh.Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za...