Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imepokea watumishi 69 wa ajira mpya kati ya hao watendaji wa vijiji wakiwa 21, Mifigo 2, afya 26 na walimu wa shule za sekondari 20.
Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu Ndugu Amandus Ludovick Mtani,amesema watumishi wote wameripoti kwenye vituo vyao vya kazi na kutoa wito kwa watumishi hao kuwajibika kikamilifu ikiwa ni pamoja na kufuata miongozo ya serikali wakati wa utekelezaji majukumu yao.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.