Mkuu wa wilaya ya kalambo Julieth Binyura amepiga malfu wafugaji kuingiza mifugo yao kwenye msitu wa hifadhi ya kalambo Falls na kuwa atakae kamatwa atachukuliwa hatua kali za kisheria ikiwemo kupigwa faini kali na kusistiza wafugaji kupunguza mifugo yao kwa lengola kuondokana na migogoro isokuwa ya lazima.
Msitu wa hifadhi ya mazingira wa kalambo unaukubwa wa hekta arobaini na tatu elfu miatatu therathini na nne na huku mpaka wake ukiwa ni kilometa mia moja arobaini na saba, licha ya msitu huo kuwa na wanyama wengi ikiwemo tembo bado kumekuwa na changamoto ya wafugaji kuingiza mifugo kinyemera na kuharibu uoto wa asili.


Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.