Wilaya ya Kalambo katika Sekta ya Ujenzi ina jumla ya watumishi kumi na wawili (12) ambao kati ya hao, Wahandisi ni watano (5), Fundi sanifu watano (5) pamoja na Madereva wawili (2). Wilaya inahudumia mtandao wa barabara wenye urefu wa Km. 846.6 ambapo kati ya hizo Km. 188.1 ni za kiwango cha changarawe na Km. 652.5 ni za udongo.
Katika mwaka wa fedha 2015/2016, Wilaya imeidhinishiwa kiasi cha Tshs. 643,530,000.00
Jedwali Na. 18: Utekelezaji wa Miradi ya Ujenzi
Na.
|
JINA LA MRADI
|
UREFU (Km.)
|
HALI YA MRADI
|
1
|
Kiundi – Madibila
|
10.2
|
Umekamilika
|
2
|
Myunga – Kaengesa Mikonko – Sengakalonje
|
7.5 18
|
Umekamilika
|
3
|
Mtula – Mosi
|
8.5
|
Umekamilika
|
4
|
Mkombo – Mlenje
|
13
|
Umekamilika
|
5
|
Msanzi – Mao
|
10
|
Umekamilika
|
6
|
Chelenganya – Katuka
|
5
|
Umekamilika
|
7
|
Kasanga – Kilewani
|
3
|
Umekamilika
|
8
|
Kalembe – Utengule
|
12
|
Umekamilika
|
9
|
Kawala – Kapozwa
|
16
|
Umekamilika
|
10
|
Kifone – Ilambila
|
7
|
Haujakamilika
|
11
|
Katazi – Kafukula – Kanyezi
|
20
|
Haujakamilika
|
12
|
Kaluko – Ngoma – Kamawe
|
11.5
|
Haujakamilika
|
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.