• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

Kalambo ya anza kampeni ya chanjo ya ugonjwa wa homa ya mapafu kwa mifugo aina ya Ng’ombe,

Posted on: May 24th, 2024

Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa imeanzisha kampeni ya chanjo ya mifugo aina ya ng’ombe ili kuikinga mifugo hiyo dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu.

Akiongea wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo katika kijiji cha Katuka katibu tawala wilayani humo Servin Ndumbalo,amesema utolewaji wa chanjo hiyo itasaidia kukinga mifugo dhidi ya vimelea mbalimbali vya magonjwa kama homa ya mapafu.

Aidha amewataka wafugaji kuzingatia chanjo kwani zinaweza kusaidia kuwapunguzia gharana za matibabu,kuepusha vifo vya mifugo, sambamba na kusaidia kuongeza upatikanaji wa mazao yanayotokana na mifugo ikiwemo nyama  na maziwa ambayo yamekuwa  yakisaidia kuboresha afya za binadamu

Kwa upande wake daktari wa mifugo kutoka wizara ya mifugo na uvuvi Dkt Rajabu Mkwela,amesema serikali inakusudia kuchukua sampuli pamoja na kupata historia ya mifugo ilio kumbwa na magojwa ya kwato na upofu wa macho katika vijiji vya kata ya Mbuluma na Msanzi wilayani humo.

Baadhi ya wafugaji wilayani humo ambao licha ya kuipongeza serikali kwa kuanzisha kampeni ya chanjo wilayani humo ,wakaishauri serikali kuona uwezekano wa kutafuta chanjo ya ugonjwa wa kwato na upofu wa macho.

Mkuu wa idara ya mifugo na uvuvi wilayani humo Nichoraus Mlango amesema wilaya ya Kalambo ina  mifugo ya aina mbalimbali ikiwemo ng’ombe wapatao 221,456, Mbuzi 38,475, Kondoo 12,482, Punda 2,795, Mbwa 6,882, Nguruwe 7,442, kuku 166,332 na kwamba katika  kuwawezesha wafugaji kiuchumi wameazisha chanjo ambayo itatolewa katika  vijiji tofauti vya wilaya hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.