Mgombea ubunge jimbo la Kalambo kupitia chama cha Mapinduzi CCM mkoani Rukwa Edfonce Kanoni amesema endapo akichaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo atahakikisha anaishauri vyema serikali juu ya uboreshaji wa bandari ya Kasanga Pamoja na ujenzi wa meli ya MV. Liemba ambayo itasaidia kuchochea Uchumi wa wavuvi na taifa kwa ujumla.
Ameyasema hayo wakati wa kampeni za kuomba kura kwa wananchi katika vijii vya Kasanga,Kilewani na Muzi wilayani humo na kusema edapo akichaguliwa atahakikisha anapigania swala la uboreshaji bandari ya kasanga na utolewaji vizimba vya kufungia Samaki kwa wavuvi.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.