Waziri wa nishati Dkt.Medadi karemani ameanza ziara yake ya kuzindua miradi ya umeme katika maeneo na vijiji mbalimbali mkoani Rukwa ambapo kesho agost 27 anategemea kuzindua mradi wa umeme katika kijiji cha myunga wilayani kalambo.
Hata hivyo akiwa wilayani Nkasi mapema agost 26 amezindua mradi wa maji katika vijiji vya Mkomolo na karungu wilayani humo na kuwagiza wakandasi wanaendelea kutekeleza usambazaji wa miradi hiyo mkoani hapa kusambaza umeme bila kuacha nyumba hata moja na kufIkia disember 2019 wawe wamekamilisha zoezi hilo.
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.