Wilaya imekuwa ikifanya juhudi katika kuhakikisha fursa za uwekezaji zilizopo Wilayani zinatangazwa na kuendelezwa kwa manufaa ya wananchi wa Wilaya ya Kalambo na wawekezaji wenyewe. Pamoja na kuwa Wilaya imejaliwa kuwa fursa nyingi bado Wilaya haijapata wawekezaji wa kiwango cha kuridhisha.
Jedwali Na. 25: Orodha ya fursa zilizopo katika Wilaya ya Kalambo
Na
|
Sekta
|
Fursa za Uwekezaji Wilayani
|
Mahali Zilipo Fursa
|
1 |
Utalii
|
1. Maporomoko ya Kalambo
|
1. Kapozwa
|
2. Ziwa Tanganyika
|
2. Vijiji vya mwambao wa Ziwa Tanganyika
|
||
3. Maporomoko ya Lwanji
|
3. Kafukoka
|
||
4. Maporomoko ya Namkale
|
4. Kapozwa/Safu
|
||
5. Chemichemi ya maji moto
|
5. Kizombwe
|
||
2 |
Uvuvi
|
Uvuvi
|
Kasanga na vijiji vya mwambao
|
Ufugaji wa samaki
|
Katuka na Mwimbi
|
||
3 |
Viwanda
|
Usindikaji wa mazao ya samaki
|
Kasanga -vijiji vya mwambao
|
Usindikaji wa mazao ya kilimo
|
Matai, Ulumi
|
||
Usindikaji wa mazao ya mifugo
|
Matai
|
||
4 |
Nyuki
|
Ufugaji/usindikaji wa mazao ya nyuki
|
Msitu wa Kalambo
|
5 |
Biashara
|
Huduma za Hoteli
|
Matai/Kasanga/ Kasesya
|
Mheshimiwa Waziri Mkuu,
Wilaya ya Kalambo inao wawekezaji wachache waliojitokeza ambao tayari wameshawekeza kama inavyoonekana katika Jedwali.
Jedwali Na. 26: Orodha ya wawekezaji waliopo katika Wilaya ya Kalambo
Na. |
Jina la Mmiliki |
Kijiji |
Hekari |
Uwekezaji anaofanya |
1 |
Mikebuka Fisheries Co. Ltd
|
Muzi
|
1.2 |
Usindikaji wa samaki
|
2 |
Bismarck Co. Ltd
|
Kasanga
|
3.5 |
Hoteli, Utalii na samaki wa mapambo
|
Mapolomoko ya Kalambo
Matai, Kalambo, Rukwa
Anuani ya posta: P.o box 03
Simu ya Mezani: 025-2955212
Simu ya mkononi: +255 622 858 482
Email: ded@kalambodc.go.tz
Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.