• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
Kalambo District Council
Kalambo District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Afya
      • Maendeleo ya Jamii
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya sekondari
      • Maji
      • Ujenzi
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo na Ushirika
      • Ufugaji na Uvuvi
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa ndani
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Mazingira
      • TEHAMA na Uhusiano
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
      • Kituo Cha Afya Matai
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Upimaji wa Viwanja na Mipango Miji
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha Uongozi na Mipango
      • Elimu Afya na Maji
      • Ujenzi Uchumi na mazingira
      • UKIMWI
    • Ratiba
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Mradi unaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
    • Bajeti ya Halmashauri
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • Salary Slip

DC Kalambo Akelwa na Ukosefu Wa Huduma Za Maji.

Posted on: June 24th, 2019
  • Wananchi katika kjiji cha kisungamile kata ya matai wilayani  kalambo mkoani Rukwa  wameiomba serikali  kufanya marekebisho  ya miundombinu  ya maji  ambayo imeharibiwa  na mifugo  na  hivyo kupelekea  kukosekana kwa  huduma hiyo muhimu kwa zaidi mwezi  mmoja na hivyo kulazimika kutumia  maji ya visima  ambayo ni hatari kwa afya zao.
  • Kijiji cha kisungamile  kina  zaidi  ya wananchi  elfumoja 1000  na  kina patikana katika  kata ya matai wilayani hapa,licha ya hilo  kijiji  hicho  kimekuwa kikikabiliwa na changamoto   kubwa  ya ukosefu  wa huduma  ya  maji na  huku  wananchi wake  wakilazimika  kutumia  maji  ya  mto chimilango  pamoja na maji ya visima  ambayo si salama kwa afya zao nahivyo  kulazimika  kuitisha mkutano wa hadhara ili kujua  hatima  ya swala  hilo.
  • Mmoja  wa  waananchi  wa kijiji  hicho  jeradi  swetu akiongea  mbele  ya  mkutano  wa  hadhara, alisema serikali kupitia  halmashauri  hiyo haina kufaanya marekebisho ya  miundombinu ya  maji kuzunguka  maeneo hayo.
  • ‘’wakati  mwingine maji  utakuta yanatoka  na  wakati mwingine  utakuta  maji  hayatoki hususani  kwenye maeneo  ya  mji  wa  matai , sasa  ningeomba  serikali  ifanye  jitihada  za   kuhakikisha  maji yanbatoka  muda  wote’’alisema  Swetu.
  • Nikas mchefya  mkazi  wa  kijiji  hicho,  alisema  katika  maeneo hayo  kuna  miradi  miwili ya  maji  lakini  miradi  yote  haitoi  maji na  kusema  tatizo  kubwa  ni  kutokana na  mabomba ya maji  kukatwa na wafugaji kutokana na mabomba hayo  kupitishwa  juu sana.
  • ‘’Wafugaji  wanapokuwa wakipishwa  mifugo yao mara  nyingi  hujikuta   wakikata  mabomba  kwa  bahati  mbaya ‘’alisema mchefya.
  • Diwani  wa  kata   hiyo  Vitus  Tenganamba  alisema  serikali  inampango  wa kuanzisha mradi  mpya  wa  maji   kwenye  maeneo   hayo   na  kuwataka  wananchi  kuendelea  kuwa  na subira  wakati  swala  lao likiendelea  kufanyiwa  kazi.
  • Mkuu wa  wilaya  hiyo Julieth  Binyura alilazimika kuingilia  kati  swala  hilo  na kuwataka   wananchi kuacha  kulima  kwenye  vyanzo vya maji kwa  lengo la kuondokana na adha   kuziba  kwa  mabomba  hususani wakati wa masika
  • ‘’Wananchi  wangu  hata  watu  wanaolima  kule  milimani  nao  wanachangia  kwa  kiasi  kikubwa  maji  kutoka  na matope  kwani  hata  yakitoka  watu  wanashindwa  hata  kufulia  nguo sasa ni  vizuri mkaacha  tabia  ya  kulima  huko  milimani  hususani  kwenye  vyanzo  vya  maji.’’alisema Binyura.
  • Hata  hivyo  imeelezwa kuwa   chanzo cha  kukatika kwa maji kila  wakati kwenye maeneo  hayo ni  kutokana na wananchi  kulima  kwenye vyanzo  vyamaji na  huku maji yanayotoka   yakiwa ni machafu muda wote.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI October 03, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI September 10, 2023
  • Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita 2023 July 13, 2023
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 01, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • KAMATI YA USHAURI YA MKOA WA RUKWA YARIDHIA MAPENDEKEZO YA KULIGAWA JIMBO LA KWELA.

    March 15, 2025
  • RC RUKWA AWAONYA VIONGOZI WANAOKWAMISHA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI SAMAZI

    March 14, 2025
  • WANAWAKE KALAMBO WAFANYA UTALI WA NDANI

    March 10, 2025
  • TALGWU YATOA MSAADA WA KIBINADAMU KWA WANAWAKE WANAOJIFUNGUA

    March 10, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MHE. RAIS SAMIA S. HASSAN AMUAPISHA MAKAMO WA RAIS MTEULE DKT. PHILIP ISDOR MPANGO IKULU CHAMWINO
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Afya
  • Ardhi na mipango Miji
  • Kujua Kodi ya Ardhi
  • Kalambodc blog
  • TEHAMA
  • Kalmbodc Twitter
  • Kalambodc Facebook
  • Kalmbodc Instagram
  • TAMISEMI

Viunganishi Linganifu

  • Ofisi ya Rais-TAMISEMI
  • Wakala wa Manunuzi Serikalini
  • Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
  • Mkoa wa Rukwa
  • Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga
  • Manispaa ya Sumbawanga

World visitors tracker

world map hits counter

Idadi ya Watu waliotembelea

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    Matai, Kalambo, Rukwa

    Anuani ya posta: P.o box 03

    Simu ya Mezani: 025-2955212

    Simu ya mkononi: +255 622 858 482

    Email: ded@kalambodc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya tovuti
    • Huduma

Copyright ©2018 Kalambo DC . All rights reserved.