Posted on: August 15th, 2018
Mwenyekiti wa halmashauli ya wilaya ya Kalambo Mhe. Daudi Sichone amewaonya watendaji wanaohusika katika ukusanyaji wa mapato kupitia mashine za kielektroniki (PoS) kuacha kufanya udanganyifu wa namna...
Posted on: August 15th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Kalambo Mhe. Julieth Binyura amewataka wananchi wenyeji wa wilaya hiyo kuacha wivu dhidi ya wageni kwa kuendelea kuwatuhumu wafugaji wageni kuwa wana mifugo mingi kuliko maeneo waliy...
Posted on: February 21st, 2018
Halmashauri ya wilaya ya Kalambo imefanikiwa kuingiza zaidi ya asilimia 80 ya taarifa za fedha za shule za msingi, Sekondari, Zahanati pamoja na vituo vya Afya katika mfumo wa FFARS. Mafanikio hayo ya...