Posted on: May 24th, 2024
Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa imeanzisha kampeni ya chanjo ya mifugo aina ya ng’ombe ili kuikinga mifugo hiyo dhidi ya ugonjwa wa homa ya mapafu.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa zoezi hilo kat...
Posted on: May 22nd, 2024
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere amewataka wananchi mkoani humo kuwa sehemu ya kutunza na kulinda miundombinu ya barabara na madaraja zinazo jengwa na serikali ili kuifanya miradi hiyo kudumu k...
Posted on: May 9th, 2024
Zaidi ya shilingi billion 35 zimetolewa na serikali kwa ajili ya umaliziaji wa barabara kwa kiwango cha lami km 25 itakayo unganisha kati ya nchi ya Zambia na Tanzania kuanzia kijiji cha Tatanda hadi ...