Posted on: January 25th, 2021
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka wananchi mkoani humo kuhakikisha wanafika katika mabanda ya kutolea elimu ya sheria ili kuitumia fursa ya kupata elimu hiyo inayotolewa bure kwa kip...
Posted on: January 23rd, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa mh. Joachim Wangabo amemuagiza Kamanda wa jeshi la Polisi Mkoani humo kuhakikisha anafanya msako wa Kijiji kwa Kijiji kuwasaka na kuwakamata waganga wa kienyeji wanaopiga ramli c...
Posted on: January 21st, 2021
Mkuu wa mkoa wa rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa siku tatu kwa wakurugenzi wa Halmshauri za Mkoa wa huo kujieleza kwa maandishi sababu za kushindwa kutekeleza maagizo ya Makamu wa Rais wa Tanzania Mhe...