Posted on: March 24th, 2020
SERIKALI mkoani Rukwa imesema imejipanga kufanya ukarabati wa madaraja yote yaliyoharibika yakiwemo ya vijiji vya kata ya Mbuluma Wilayani Kalambo na mtaa wa Kasisiwe Manispaa ya Sumbawanga n...
Posted on: March 23rd, 2020
Watu 18 raia wa nchi jirani ya Zambia wanashikiliwa na idara ya uhamiji mkoani Rukwa kwa tuhuma za kuingia nchini kupitia mpaka wa Kasesha wilayani Kalambo bila vibali na huku wananchi wakiitaka...
Posted on: March 22nd, 2020
Rais wa Jamhuri ya mungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametangaza kuwa watu 12 wameambukizwa ugonjwa wa corona.
Wanane kati ya wagonjwa hao ni raia wa Tanzania na wengine wanne ni raia wa kigen...