Posted on: July 29th, 2023
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo Ndugu Shafi K. Mpenda amelieleza Baraza la Madiwani la Halmashauri hiyo kuwa Halmashauri imefanya manunuzi ya boti mbili za kasi (fiber boat) ze...
Posted on: July 25th, 2023
Watumishi wa Umma wilayani Kalambo mkoani Rukwa wameungana na watu wengine katika kuadhimisha siku ya kumbukumbu ya mashujaa kwa kufanya usafi kwenye majengo ya hospitali ya wilaya ili kuende...
Posted on: July 24th, 2023
Mbunge Jimbo la Kalambo Josephat andege amesema bei ya mahindi imeongezeka kutoka shilingi 600 ya bei ya awali hadi kufikia shilingi 900 sawa na ongezeko la shilingi 300 kwa maeneo ya mjini na shiling...