Posted on: October 19th, 2025
Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Kalambo mkoani Rukwa Ndugu Ramadhan Mabula, amesema watu 157,253 ambao walijitokeza kujiandikisha katika Daftari la kudumu la wapiga kura,wanatarajia kupiga kura Oktoba ...
Posted on: October 15th, 2025
Wakulima wilayani Kalambo Mkoani Rukwa wametakiwa kutumia mbolea ili kuongeza tija ya uzalishaji wa mazao ya nafaka shambani kwa kuongeza bidii katika upimaji wa afya ya udongo.
Hayo yamebain...
Posted on: October 9th, 2025
Wananchi Wilayani Kalambo Mkoani Rukwa wametakiwa kuchukua tahadhari ya magonjwa ya milipuko kwa kufuata kanuni za afya ikiwemo kunawa mikono, kusafisha mazingira sambamba na kutumia maji safi na sala...