Posted on: March 18th, 2020
Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Ninga kata ya Katazi Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa amefariki dunia baada ya kupata ajari ya pikiki aliyokuwa ameipora katika eneo la Miangalua tarafa ya Laela.
...
Posted on: March 18th, 2020
Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wa corona baada ya watu wengine wawili kuthibitishwa visiwani Zanzibar na Dar es Salaam. Wagonjwa wote ni raia wa kigeni.
Sik...
Posted on: March 16th, 2020
Mkurugenzi wa Manispaa ya Sumbawanga Jacob Mtalitinya amepata fursa ya kutembelea soko kuu la samaki Kasanga Wilayani Kalambo ambalo linategemewa kukusanya zaidi ya shilingi million mia moja kwa mwaka...