Posted on: July 9th, 2025
SERIKALI imeonya vikali dhidi ya mtu yeyote, hasa watumishi wa umma na wachanjaji, watakaojaribu kuwatoza wafugaji fedha kwa ajili ya huduma za chanjo na utambuzi wa mifugo, ambazo kwa mujibu wa...
Posted on: July 7th, 2025
Wajasiriamali wadogo wilayani Kalambo mkoani Rukwa wametakiwa kuongeza thamani ya bidhaa zao kwa kuweka nembo ya shirika la viwango Tanzania (TBS) ili ziweze kutambulika na kushindanishwa kwenye masok...
Posted on: July 3rd, 2025
Watia nia 158 wa ubunge na udiwani wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamejitokeza kuwania nafasi hizo na watia nia 12 kati hao wamejitokeza kuwania nafasi ya ubunge huku wanachama 110 wakijitokeza kuwania...