Posted on: December 10th, 2024
Kaimu mkurugenzi mtendaji halmashauri ya Kalambo Wambura Sunday amesema serikali haitasita kuwachukulia hatua kali za kisheria ikiwemo kuwafikisha mahakamani wazazi na walezi ambao watashindwa kuwaand...
Posted on: December 9th, 2024
Mkuu wa wilaya ya Kalambo Dkt Lazaro Komba amewataka wananchi wilayani humo kuendelea kuwaenzi waasisi wa taifa la Tanzania kwa kufanya kazi kwa bidii kama sehemu kuadhimisha miaka 63 ya uhuru ...
Posted on: November 22nd, 2024
Msimamizi wa uchaguzi Halmashauri ya Kalambo Mkoani Rukwa Ndg.Shafi Mpenda amewataka wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi Wilayani humo kuzingatia nidhamu na uadilifu ikiwa ni pamoja na kujiepusha na ulev...