Posted on: August 11th, 2023
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Makongoro Nyerere amewataka mafundi wanaotekeleza mradi wa ujenzi wa Bweni la wanafunzi wenye mahitaji maalmu katika kijiji cha msanzi wilayani Kalambo kuharakishwa ujenzi huo il...
Posted on: August 10th, 2023
Watu wawili kutoka Halmashauri ya Kalambo akiwemo James Chiwalanje Siame mkulima na Beda Lusakas Chipamba mfugaji wameibuka washindi kwenye maonesho ya Nane nene ambayo yalikuwa yakiendelea kufanyika ...
Posted on: August 7th, 2023
Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo K. Pinda amewataka wananchi kulima zao la Karanga miti (Makadamia) ili kujiinua kiuchumi. Mh. Pinda ameyasema hayo jijini Mbeya alipotembelea banda ya Halmashauri ya Wi...