Posted on: February 21st, 2021
Daraja la Kale lililopo katika kata ya Ulumi linalounganisha vijiji 11 vya kata 3 za wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa limesombwa na maji kufuatia mvua kubwa ilionyesha katika maeneo hayo na kusababisha ...
Posted on: February 19th, 2021
Rais wa Tanzaniwa John Pombe Magufuli amewataka Watanzania Wakristo na Waislamu kumuomba Mungu ili kuepuka ugonjwa ambao amesema mwaka jana ''Tuliushinda kwa kumtanguliza Mungu''. Rais Magufuli ameyas...
Posted on: February 12th, 2021
Mkuu wa wilaya ya Kalambo Kalorius, Misungi amewataka watendaji kurejesha fedha za makusanyo ya mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo kiasi cha shilingi million 162 na kusisitiza kuwakamata watendaji wo...