Posted on: April 13th, 2020
Wizara ya afya nchini Tanzania imetangaza kuongezeka kwa wagonjwa 14 wapya wa corona .
Wagonjwa wote 14 ni raia wa Tanzania. Kufikia sasa watu 46 wameambukizwa virusi vya corona.
Watu 13 kati ya...
Posted on: April 13th, 2020
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka viongozi mbalimbali kuanzia ngazi ya kitongoji hadi kata kusahau tofauti za kisisasa zilizopo ili kuweza kushirikiana kupambana dhidi ya ugonjwa wa ...
Posted on: April 10th, 2020
Watu 49 wamewekwa karantini mkoani Rukwa kati yao watanzania wakiwa ni 36 na wageni 13 baada ya kupita katika bandari na mipaka rasim ya mkoa huo huku mkuu wa mkoa huo Joachim wangabo akipiga...