Posted on: February 6th, 2020
HALMASHAURI ya Kalambo mkoani Rukwa imesema imetenga fedha kiasi cha shilingi milioni 140 katika bajeti ya 2020/ 2021 kwaajili ya umaliziaji wa maboma ya majengo yote ya zahanati
Akiongea ...
Posted on: February 5th, 2020
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ametoa siku 2 kwa wazazi kuhakikisha wanafunzi 932 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaripoti mara moja shuleni na kuanza masomo bila visin...
Posted on: February 3rd, 2020
NAIBU waziri wa wizara ya tawala za mikoa na serikali za mitaa(TAMISEM),Josephat Kandege amewaagiza maofisa watendaji wa serikali waliopo kata ya Samazi wilayani Kalambo mkoani Rukwa kuwachuk...