Posted on: December 27th, 2023
Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Lazaro Komba amewataka wananchi wilayani humo kutunza mazingira na kuacha kulima kando ya vyanzo vyamaji ili kuepuka ukame.
Ameyasema hayo wakati wa ziara ya ...
Posted on: December 7th, 2023
Halmashauri ya Kalambo mkoani Rukwa imefanikiwa kutoa elimu juu ya utapia mlo mkali kwa wazazi na walezi wapatao 57000 katika vijiji 111 vya wilaya hiyo kati yao wazazi wenye watoto kati ya miez...
Posted on: December 5th, 2023
Watendaji wa serikali za vijiji na kata wilayani Kalambo mkoani Rukwa wamepatiwa mafunzo ya mfumo wa Upimaji na utendaji kazi wa taasisi ya (PIPMIS) na yale ya mfumo wa upimaji wa utendaji kazi kwa wa...