Posted on: December 13th, 2019
Ndege ya Tanzania iliyokuwa ikishikiliwa nchini Canada imeachiliwa, rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli ameeleza.
Bila kusema imeachiwa lini, na kwa makubaliano gani, rais Magufuli amewaambia wan...
Posted on: December 13th, 2019
Wanafunzi wa kike 722 wameshindwa kuendelea na elimu ya msingi na sekondari mkoani Rukwa kutokana na kupata ujauzito wakati shuleni.
Mganga Mkuu wa mkoa wa Rukwa, Boniface Kasululu, alisem...
Posted on: December 12th, 2019
KATIKA jitihada za kutunza na kuhifadhi Mazingira, Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa imeanza utaratibu maalumu wa kupanda miti katika maeneo tofauti ya wilaya hiyo na tayari imefanikiw...