Posted on: June 25th, 2020
ZAIDI ya wakazi 35,954 kutoka vijiji kumi na sita (16) vya kata ya Mpombwe na Mkoe wilayani Kalambo mkoani Rukwa wameanza kunufaika na uwepo wa vivutio vya utalii ikiwemo maporomko ya Kalambo...
Posted on: June 22nd, 2020
Wanazuoni wa leo [Contemporary Philosophers], wanaunga mkono usemi wa mwenzao Thomas Maltus kwamba uwepo wa watu wengi katika jamii fulani ni uwepo wa vinywa vingi ya kulisha. Tanzania ya leo inayokad...
Posted on: June 18th, 2020
Halmashauri ya Wilaya ya Kalambo imeanzisha mpango maalumu wa kutoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu na matumizi sahihi ya vyandarua katika kata zake zote 23 na vijiji vyote 111 vya wilaya h...